WABUNGE WA EALAWAMEIPA MUDA WA WIKI MBILI TANZANIA NA BURUNDI KUPITIA MUSWADA WA TAKWIMU - JAMII BLOG

Jamii Yetu , Maisha Yetu

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday 7 October 2018

WABUNGE WA EALAWAMEIPA MUDA WA WIKI MBILI TANZANIA NA BURUNDI KUPITIA MUSWADA WA TAKWIMU

Na wankyo gati,arusha

Wabunge wa bunge la afrika mashariki (eala) wameipa muda wa wiki mbili TAnzania na Burundi kupitia muswada wa Takwimu za mawasiliano wa nchi wanachama wa jumuiya hiyo ya afrika mashariki sanjari nahayo wabunge hao wametakiwa kuisoma ripoti y fedha iliyotok kwa wakguzi.

Akizungumza wakati akichangia muswada huo wa takwimu Mbunge wa hilo odongo george kutoka uganda amesema kuwa gharama za mawasiliano nchini Burundi bado zipo juu hivyo wanatakiwa kuliangalia hilo kwe a na protokali ya jumuiya hiyo.

Amesema kuwa TAnzania iliwasilisha barua ya kuomba kupewa muda wa kupitia ripoti ya takwimu na bunge hilo limetoa wiki mbili kupitia taarifa hiyo ili kuweza kupitisha muswada huo.

"tunatakiwa kuisoma vizuri ripoti ya wakaguzi wa hesabu iliyotoka kwa wakaguzi kwani fedha hizo zinatoka kwa nchi zetu za jumuiya na kuzipitisha nijambo la msingi"alisema GEorge

Ameliambia bunge kuw nchi hizo zinachangia kiasi cha shilingi milioni 8.5 fedha za kimarekani ili kiweza kuendesha shughuli zajumuiya hivyo wahasibu wakafanya kazi zao kwa weledi badala a sasa kufanya kazi zao kwa kulipua lipua.

Kwa upande wake mbunge wa bunge hulo kutoka tanzania Adam kimbisa amesema kuwa ripoti ya nyingine iliyowasilishwa ndani ya bunge hilo la tanzania kutuma barua kuhusu kuomba muda wa kuipitia ripoti ya takwimu na wamepewa muda wa wiki mbili kuipitia kwa umakini ili waweze kuujadili mara baada ya muda ambao wamejiwekea.

Amesema kuea kwenye idara ya fedha ya jumuiya hiyo kutoka na ripoti ya kamati ya fedha kunatatizo la uwajibikaji hivyo kuwataka wahasibu wa jumuiya hiyo kuwa na uwajibikaji ili yasitokee kama yaliyotokea kwenye ripoti ya mwaka 2016/2017.

"Bunge hili limetoa muda wa wiki mbili kwa nchi yetu kupitia muswada huo na sisi kama bunge baada ya wiki mbili tutaketi tena kuweza kusikiliza walichowasilisha kwetu"alisema Kimbisa
Mwisho.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here