BENKI YA CRDB YATOA SEMINA KWA WAFANYABIASHARA NA WAJASIRIAMALI WA DODOMA - PAMWASH BLOG

Jamii Yetu , Maisha Yetu

Monday, 9 October 2017

demo-image

BENKI YA CRDB YATOA SEMINA KWA WAFANYABIASHARA NA WAJASIRIAMALI WA DODOMA


IMGS2166
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Dodoma, Rehema Hamis, akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dk. Charles Kimei kufungua semina iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya Wafanyabiashara na Wajasiriamali wa Dodoma wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja. (Picha na Francis Dande).
IMGS2190Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa semina ya iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya Wafanyabiashara na Wajasiriamali wa Dodoma wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika mkoani Dodoma, mwishoni mwa wiki.
IMGS2207
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akizungumza katika semina hiyo.
IMGS2125
Dk. Charles Kimei akipongezwa baada ya kutoa hotuba ya ufunguzi wa semina ya Wafanyabiashara na Wajasiriamali mkoani Dodoma.
IMGS2127
Dk. Charles Kimei, akipongezwa na mfanyabiashara wa mkoani Dodoma, Suzana Kweka, baada ya kutoa hotuba yake.
IMGS2297Mkuu wa Kitengo cha Wajasiriamali cha Benki ya CRDB, Elibariki Masuke akitoa mada katika semina hiyo.
8H3H2713
Baadhi ya Wafanyabiashara na Wajasiriamali wa Mkoa wa Dodoma wakiwa katika semina iliyoandaliwa na Benki ya CRDB.
8H3H2714
Wafanyabiashara wakiwa katika semina hiyo.
IMGS2152
Mkuu wa Kitengo cha Wajasiriamali Benki ya CRDB, Elibariki Masuke (kushoto), akiwa katika semina hiyo.
IMGS2203
Baadhi ya maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika semina hiyo.
IMGS2244Meneja wa Amana wa Wateja Wadogo wa Benki ya CRDB, Abel Lasway, akitoa mada katika semina ya Wafanyabiashara na Wajasiriamali wa mkoani Dodoma.
IMGS2249Meneja wa Huduma Maalum Benki ya CRDB, Joyce Ishemoi akitoa mada kwenye semina ya Wafanyabiashara wa Dodoma.
IMGS2254Meneja wa Benki ya CRDB Huduma za Kieletroniki, Mangire Kibanda, akitoa mada katika semina iliyowakutanisha Wafanyabiashara na Wajasiriamali wa Dodoma.
8H3H2760Mfanyabiashara wa Dodoma akiuluza swali katika semina hiyo.
IMGS2261Meneja Mahusiano Trade Finance wa Benki ya CRDB, Baraka Eusebio akitoa mada kwa Wajasiriamali.
IMGS2330Mfanyabiashara wa Dodoma akiuliza swali.
IMGS2307Mfanyabiashara wa mkoani Dodoma, Suzana Kweka, akitoa ushuhuda wake jinsi alivyopata msaada wa kukuza biashara yake kutoka Benki ya CRDB.
8H3H2767 Mmoja wa Wafanyabiashara akiuliza swali.
8H3H2789Mkurugenzi wa Mikopo Benki ya CRDB, James Mabula,akijibu baadhi ya maswali ya Wafanyabiashara wa Dodoma wakati wa semina iliyoandaliwa na benki hiyo.
8H3H2758Wafanyabiashara wa Dodoma wakiwa katika semina iliyoandaliwa na Benki ya CRDB.
IMGS2119
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Dodoma, Rehema Hamis, akipeana mkono na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dk. Charles Kimei.
IMGS2121
Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Mikopo Benki ya CRDB, James Mabula, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, Mkuu wa Kitengo cha Wajasiriamali, Elibariki Masuke, Elibariki Masuke na Mkurugenzi Benki ya CRDB Tawi la Dodoma, Rehema Hamis.

No comments:

Post a Comment