RAIS DKT. MAGUFULI ATUNUKU VYETI VYA SHUKRANI NA PONGEZI KWA KAMATI MAALUMU ZA UCHUNGUZI NA MAJADILIANO KUHUSU RASILIMALI ZA MADINI NCHINI - JAMII BLOG

Jamii Yetu , Maisha Yetu

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday 24 October 2017

RAIS DKT. MAGUFULI ATUNUKU VYETI VYA SHUKRANI NA PONGEZI KWA KAMATI MAALUMU ZA UCHUNGUZI NA MAJADILIANO KUHUSU RASILIMALI ZA MADINI NCHINI



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtunuku Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi cheti cha pongezi na shukrani katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtunuku Profesa Nehemiah Eliakim Osoro cheti cha pongezi na shukrani katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtunuku Mwenyekiti wa Kamati ya Kwanza ya Makinikia Profesa Abdulkarim Mruma cheti cha pongezi na shukrani katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam  Oktoba 23, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtunuku Mama Fatuma Ndugai ambaye ni Mke wa Spika Mhe. Job Ndugai cheti cha pongezi na shukrani katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Katibu wa Bunge Mhe. Stephen Kagaigai baada ya kumtunuku Spika Job Ndugai (kupitia kwa mkewe Mama Fatuma Ndugai) cheti cha pongezi na shukrani katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtunuku Waziri wa Sheria na Katiba Profesa Palamagamba Kabudi cheti cha pongezi na shukrani katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimtunuku Profesa Frolens Luoga cheti cha pongezi na shukrani katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia baada ya kutunuku vyeti vya pongezi na shukrani kwa wajumbe wa Kamati Maalumu za Uchunguzi na Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya kumbukumbu baada kutunuku vyeti vya pongezi na shukrani kwa wajumbe wa Kamati Maalumu za Uchunguzi na Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini katika hafla iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017.

Mhe Mussa Azzan Zungu, Mwenyekiti wa kamati Maalumu ya Bunge ya kuchunguza mfumo bora wa uchimbaji, usimamizi, umiliki na udhibiti wa biashara ya Madini ya Almasi wajumbe wa Kamati Maalumu za Uchunguzi na Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini katika hafla kutunuku vyeti vya pongezi na shukrani kwa wajumbe wa Kamati Maalumu za Uchunguzi na Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017.

Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry Ally akiongea katika hafla kutunuku vyeti vya pongezi na shukrani kwa wajumbe wa Kamati Maalumu za Uchunguzi na Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017.


Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba akiongea katika hafla kutunuku vyeti vya pongezi na shukrani kwa wajumbe wa Kamati Maalumu za Uchunguzi na Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa UDP Mhe John Cheyo katika hafla kutunuku vyeti vya pongezi na shukrani kwa wajumbe wa Kamati Maalumu za Uchunguzi na Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe William Lukuvi akiongea katika hafla kutunuku vyeti vya pongezi na shukrani kwa wajumbe wa Kamati Maalumu za Uchunguzi na Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Dkt. Reginald Mengi na wageni wengine kupata chakula cha mchana baada ya hafla kutunuku vyeti vya pongezi na shukrani kwa wajumbe wa Kamati Maalumu za Uchunguzi na Majadiliano kuhusu Rasilimali za madini nchini iliyofanyika Ikulu jijjini Dar es salaam Oktoba 23, 2017.

Gavana wa Benki Kuu mteule Profesa Frolens Luoga
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here