![]() |
Mkuu
wa shule ya Sekondary Mugabe Madam Kayumbu akikabidhiwa vitabu hivyo
na afisa elimu Neema Maghembe mara baada ya kukabidhiwa na mkurugenzi wa
manispaa ya ubungo ndugu John Lipesi Kayombo
|
Msaada huo wa vitabu umetolewa Taasisi ambayo ni asasi ya Wazalendo na maendeleo na watoto ni Amana
iliyowakilishwa na Mohamed Shaban aliyeambatana na Ally Six Nurdin
Katika
makabidhiano hayo mbali na mkurugenzi wa Ubungo kukabidhi vitabu hivyo
pia aliahidi kutoa matofali 1000 Pamoja na mifuko 50 ya cement kwa ajili
ya ujenzi wa uzio wa shule jambo lililoungwa mkono na Taasisi kwa kutoa
matofali 200.

![]() |
Mkurugenzi
wa Manispaa ya Ubungo John Kayombo akiwa katika Picha ya pamoja na
wanafunzi wa shule ya Sekondary Mugabe,walimu na wageni waliohuduria
katika hafla hiyo ya kukabidhi vitabu hivyo
|
Aidha
Mkurugenzi kayombo ametoa agizo shule ya Sekondari Mugabe itumike kama
Library ya wilaya ili kila shule walimu na wanafunzi waweze kwenda pale
kujisomea
No comments:
Post a Comment