Kamishna wa Ardhi msaidizi kanda ya kusini; Gaspar Luanda akiongea na waandishi wa habari akiwa ameambatana na Maafisa Mipango Miji wa Mkoa katika ofisi za kanda yake – Mtwara wakati wa Mkutano na waandishi hao kuhusu umuhimu wa ulipaji wa Kodi ya Pango la Ardhi.
Waandishi wa habari mkoani Mtwara, wakifuatilia kwa makini maelezo ya Kamishna wa Ardhi msaidizi kanda ya kusini; Gaspar Luanda alipokuwa anaongea nao kuhusu Mmiliki wa Ardhi na umuhimu wa ulipaji wa Kodi ya Pango la Ardhi.
Burudani ya Sarakasi ikiendelea na uhamasishaji wa Kodi ya Pango la Ardhi katika eneo la Magomeni mkoani Mtwara, ambapo Kamishna wa Ardhi msaidizi kanda ya Kati, Gaspar Luanda na Afisa Ardhi, Patrick Mpangala walipokuwa wakitoa elimu ya ulipaji Kodi ya Ardhi katika maeneo mbalimbali – Mtwara (hawapo pichani).
Afisa Ardhi Mteule, mkoani Lindi; Andrew Munisi akisisitizia jambo wakati akizungumza na wananchi wa eneo la Pili pili katika uhamasishaji wa ulipaji wa Kodi ya Pango la Ardhi
Burudani ya Sarakasi ikiendelea na uhamasishaji wa Kodi ya Pango la Ardhi katika eneo la Kivukoni mkoani Lindi, ambapo Kamishna wa Ardhi msaidizi kanda ya Kati, Gaspar Luanda na Afisa Ardhi Mteule; Andrew Munisi walipokuwa wakitoa elimu ya ulipaji Kodi ya Ardhi katika maeneo mbalimbali – Lindi (hawapo pichani).
Kamishna wa Ardhi msaidizi kanda ya Kati, Gaspar Luanda na Afisa Ardhi Mteule; Andrew Munisi wakihamasisha ulipaji Kodi ya Pango la Ardhi, mkoani Lindi kwa kutoa elimu hiyo kwa njia ya Radio, katika Lindi Radio FM (88.1)
Picha na Mboza Lwandiko, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
No comments:
Post a Comment