Mwalimu
mkuu wa shule ya sekondari Enduimet Bw.Hassan Hamisi akiotesha mti
katika uzio wa shule
Jumuiya
ya wazazi wakishirikiana na wanafunzi a shule ya secondary endumeit
wameamizimisha siku ya upandaji Wa miti katika kuotesha miti ya uzio Wa shule
hyo.
Akizungumza na
wanafunzi hao katibu Wa Ccm wilaya ya longido bw.Simba Gaddafi alipokuwa anaotesha
miti katika sekondari hiyo amesema wameotesha jumla ya miti 3300 ambapo
kila kata kwenye kijiji kiliotesha miti 300.
Pia alitaja alitaja
kata za wilaya ya longido ambazo ziliotesha miti hyo ni kamwanga ,olmolog,Tinga
Tinga na sinya.
Akizungumza na
mitandao ya kijamii,mwalimu Mkuu Wa shule hiyo bw.Hassan hamis amesema
wanafunzi wake wanapata changamoto ya kukutana na wakali ikiwemo
tembo,hata kama wanaotesha miti kuzunga fensi ya shule
Pia mwalimu alisema
wanaiomba serikali isaidie kujenga ukuta kuzunguka shule hyo itawasaidia
wanafunzi kuwa katika sehemu salama
Mwalimu Mkuu aliongeza
kuwa eneohilo lina tatizo la mawasiliano katika shule hyo hakuna kwahyo hata
wanyama wakivyamia hawezi hata kiwasiliana na maaskari Wa wanyamapori
katika eneo hilo
Mwenyekiti Wa
kijiji cha lerangwa bw.isaya mollel amesema wanapata wasiwasi kutokana
na wanyama hao kuja mpaka mabweni ya wanafunzi ikiwemo tembo.
No comments:
Post a Comment