Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi Zabron Bugingo,akielezea
mradi mkubwa wa uoteshaji wa miche ya korosho kwa waandishi wa habari waliohitimu
mafunzo ya uwandishi wa habari vijijini Mkoani Morogoro pindi walifanya ziara
katika halmashauri hiyo jana.(Picha na Pamela Mollel)
Picha ikionesha miche ya korosho ikiwa katika hatua
ya awali ya uoteshwaji.
Picha ikionesha jengo la Halmashauri ya Wilaya ya
Kilwa Mkoani Lindi.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohitimu mafunzo ya
uwandishi wa habari za vijijini wakiwa katika boti kuelekea katika ziara ya
kuona na kujifunza magofu ya kale kisiwani kilwa.
Mkazi wa Kilwa Masoko akiwa amebeba beseni la Samaki
tayari kwa kufanyashughuli za ujasiliamali.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya kilwa Zabron Bugingo
akiwa ameambatana na timu ya waandishi wa habari waliohitimu mafunzo ya
uandishi wa habari za vijijini katika ziara kisiwa cha kilwa Masoko.
Baadhi ya waandishi wa habari walihitimu mafunzo ya
uandishi wa habari za vijijini wakiwa wameshuka katika boti tayari kwa kuanza
ziara katika mji wa kihistoria Kilwa Masoko.
Mkuu wa kitengo cha uhifadhi katika mji wa kihistoria kilwa Revocatus Wejja,akitoa
maelezo kwa waandishi wa habari walihitimu mafunzo ya uandishi wa habari za
vijijini pindi walipofanya ziara katika eneo hilo.
Moja ya eneo katika mji wa kihistoria kilwa Masoko
ambapo panadaiwa kuwa nyumba za kale zilifunikwa.
Moja ya waandishi wa habari waliokuwa katika ziara
hiyo Felician Shija akiangalia eneo linalodaiwa kufukiwa nyumba za wakoloni
katika kisiwa cha kilwa Masoko.
Picha ikionesha shule ya Msingi Kisiwani iliyopo jirani na Mji wa kihistoria wa kilwa masoko.
Baadhi ya waandishi wa Habari Adam juam na Agustino
Kihombo wakiwa katika jiwe la shule ya Msingi Kisiwani iliyopo jirani na Mji wa
Kihistoria Kilwa Masoko.
Baadhi ya Makabuli ya wakoloni yaliypo katika kisiwa
cha kilwa masoko.
Mkuu
wa kitengo cha uhifadhi katika mji wa kihistoria kilwa Revocatus Wejja,akitoa maelezo
kwa waandishi wa habari namna watakavyoboresha mlango wa msikiti ambao ulikuwa
ukitumika na wakoloni katika kisiwa cha kilwa msoko kushoto Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa Zabron Bugingo,
Mkuu wa kitengo cha uhifadhi katika mji wa kihistoria kilwa Revocatus Wejja,akiwaonyesha waandishi wa habari sehemu ya kuchanganyia chokaa kwaajili ya kuboresha majengo hayo
Mkuu wa kitengo cha uhifadhi katika mji wa kihistoria kilwa Revocatus Wejja,akitoa maelezo kwa waandishi wa habari kuhusiana na gereza ambalo lilikuwa likitumika na wakoloni
Jengo
la msikiti ambao ulikuwa ukitumika na wakoloni katika kisiwa cha kilwa masako
No comments:
Post a Comment