BLOGGER AFUNGA PINGU ZA MAISHA - PAMWASH BLOG

Jamii Yetu , Maisha Yetu

Thursday, 12 October 2017

demo-image

BLOGGER AFUNGA PINGU ZA MAISHA

Blogger wa Jamvi la Habari ambaye pia ni mhadhiri wa chuo kikuu cha SAUT-Songea Willy Migodela. Tarehe 07/10/2017 alifunga harusi na Lightness Ngenzi katika kanisa la KKKT usharika wa Mbarali mkoani Mbeya. 
DSC_0323
Pichani Bwana Harusi Willy Migodela na Bibi Harusi Lightness Ngenzi 
DSC_0244
Pichani Bwana Harusi na Bibi Harusi wakiwa na wasimamizi wao Mr & Mrs Pambano Myula 
DSC_0210
Pichani Bwana na Bibi Harusi wakiwa katika picha ya pamoja na wapambe wao. 
DSC_0249
Bwana na Bibi Harusi wakiwa katika tabasamu la kufurahia ndoa yao

No comments:

Post a Comment