ASKOFU MKUU WA KKKT, DK. FREDERICK SHOO AZINDUA APP YA "TUMUABUDU MUNGU WETU" JIJINI DAR ES SALAAM - JAMII BLOG

Jamii Yetu , Maisha Yetu

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday 3 October 2017

ASKOFU MKUU WA KKKT, DK. FREDERICK SHOO AZINDUA APP YA "TUMUABUDU MUNGU WETU" JIJINI DAR ES SALAAM



Mkuu wa Kanisa la KKKT Baba askofu Dr. Frederick Shoo akizindua App ya Tumuabudu Mungu wetu katika Hoteli ya Mbezi Garden jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kushoto kabisa (mwenye shati jeupe) ni mtaalam elekezi ( consultant) wa mradi huu kwa upande wa sheria ya haki miliki ( intellectual property rights) Dr. Eliamani Laltaika

Baadhi ya maaskofu walio hudhuria katika Uzinduzi wa App ya Tumuabudu Mungu Wetu itakayopatika kwenye Mtandao

Mtaalam elekezi ( consultant) wa mradi huu kwa upande wa sheria ya haki miliki ( intellectual property rights) Dr. Eliamani Laltaika akizungumza katika Uzinduzi huo.



Mtaalam elekezi ( consultant) wa mradi huu kwa upande wa sheria ya haki miliki ( intellectual property rights) Dr. Eliamani Laltaika akizungumza katika Uzinduzi huo, kitabu hicho kitapatikana kwa njia ya Mtandao kupitia Simu za Mikononi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here