RAIS MSTAAFU JAKAYA MRISHO PAMOJA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD LOWASSA WAJUMUIKA NA MAMIA YA WANANCHI KATIKA MAZISHI YA BILIONEA MREMA ARUSHA - JAMII BLOG

Jamii Yetu , Maisha Yetu

Post Top Ad

Thursday, 10 August 2017

demo-image

RAIS MSTAAFU JAKAYA MRISHO PAMOJA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD LOWASSA WAJUMUIKA NA MAMIA YA WANANCHI KATIKA MAZISHI YA BILIONEA MREMA ARUSHA

Responsive Ads Here
SAM_1436
 Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete akiweka shada la maua katika kaburi la Bilionea marehemu Maleu Mrema katika ibada ya mazishi yaliyofanyika jana katika hoteli yake ya Ngurudoto iliyopo nje kidogo ya jiji la Arusha(Habari Picha NA Pamela Mollel,Arusha)
IMG_20170809_162219
Waziri Mkuu mstaafu,Edward  Lowassa akiweka shada la maua pamoja na mke wake  katika mazishi ya bilionea Maleu Mrema jana nje kidogo ya jiji la Arusha katika hoteli ya Ngurudoto
IMG_20170809_162142
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo akiweka shada la maua katika kaburi la marehemu Mrema katika ibada ya mazishi yaliyofanyika katika hoteli yake ya Ngurudoto iliyopo nje kidogo ya jiji la Arusha
SAM_1417
 Baadhi ya wake za marehemu wakiweka udongo katika kaburi la mpendwa wao

_MG_6079
 Waziri Mstaafu wa mambo ya nje Benard Membe akiweka shada la maua katika kaburi la Bilione Mrema

_MG_6077
 Meneja mahusiano Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa)Pascal Shelutete akiweka shada la maua katika kaburi la Bilione Mrema

SAM_1433
 Watoto wa marehemu wakiwa wamebeba mashada ya maua
SAM_1392

_MG_6070
 Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete wakisalimiana na Waziri Mkuu mstaafu,Edward  Lowassa katika mazishi ya bilionea Maleu Mrema leo nje kidogo ya jiji la Arusha katika hoteli ya Ngurudoto
SAM_1395
 Baadhi ya wanakamati wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu Mrema kuelekea katika eneo maalumu lililotengwa na familia kwaajili ya maziko
SAM_1421
 Hapa watoto wakiwa wanaweka udongo katika kaburi la baba yao
SAM_1399
 Wake wa marehemu wakiwa wanaingia katika eneo maalumu lililotengwa kwaajili ya maziko
SAM_1429
 Kulia ni Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete,katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo pamoja na
Abdulrahman Omari Kinana wakiteta jambo katika msiba wa Mrema
SAM_1408
 Wake wa marehemu Mrema wakiwa katika huzuni kulia aliyevalia suti nyeusi ni baba mzazi wa Bilionea huyo
SAM_1441
 Mh Abdulrahman Omari Kinana mara baada ya kuweka shada la maua
SAM_1406
 Jeneza la marehe Bilionea Maleu Mrema likiwa linashushwa katika nyumba yake ya milele

IMG_20170809_172511
Wanafamilia wakiwa katika picha ya pamoja na Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete
SAM_1461
Nyumba ya milele ya Bilionea Maleu Mrema

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad